Chorus:
Niguse, niguse (Touch me, touch me)
Ukinigusa wewe, nitakuwa salama (If you touch me, I shall be safe)
(repeat)
Niguse leo, nahitaji mguso wako (Touch me today, I need your touch)
Ukinigusa wewe, nitakuwa salama (If you touch me, I shall be safe)
Nahitaji mguso wako siku ya leo (I need your touch today)
Ukinigusa wewe, nitakuwa salama (If you touch me, I shall be safe)
Gusa maisha yangu, gusa mwenendo wangu (Touch my life, touch my ways)
Ukinigusa wewe, nitakuwa salama (If you touch me, I shall be safe)
(Chorus)
Mikononi mwako Baba kuna uzima (In your hands father there is life)
Uniguse wewe, mimi niwe salama (Touch me, that I may be safe)
Mikononi mwako Yahweh kuna amani tele (In your hands Yahweh, there is peace)
Uniguse wewe, mimi niwe salama (Touch me, that I may be safe)
Nimejaribu bila ya wewe, Sijawahi weza (I have never made it without you)
Nakuhitaji leo Baba niguse (I need you to touch me Father)
(Chorus)
Mambo mengi, uliyonitendea (You’ve done a lot for me)
Ndio maana leo nakuomba (That is why today I pray)
Utende kwa wengine (That you touch others) (x2)
Nimeuona mkono wako (I have seen your hand)
Unapowagusa wengine, niguse leo (As you touch others, touch me)
Ulivyonigusa, gusa na Baba yule, (As you touch me, touch that man)
Gusa mama yule, gusa kijana yule (touch that woman, and that youth)
(Chorus)
Moyo wangu, gusa moyo wangu (My soul, touch my soul)…